Ulazima wa kufunga siku aliyokula mwanamke kwa sababu ya ada ya mwezi

Swali: Wanachuoni wanasemaje juu ya mwanamke ambaye ameacha kufunga Ramadhaan kwa sababu ya ada ya mwezi. Je, ni haki kwake kuzirudi zile siku alizokula?

Jibu: Ndio. Ni lazima kwake kulipa zile siku alizokula.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (20) http://binothaimeen.net/content/6852
  • Imechapishwa: 17/09/2021