Swali: Ni ipi hukumu ya ukodishaji unaoishia kwa umilikishaji?
Jibu: Wanazuoni wakubwa wametoa tamko kuhusu suala hili kwamba ni jambo lililokatazwa, kwa sababu ni mikataba miwili katika mkataba mmoja. Lakini ukodishaji unakamilishwa, kisha mkataba mwingine wa umilikishaji ukafungwa au akaweka dhamana au rehani.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 19/09/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya ukodishaji unaoishia kwa umilikishaji?
Jibu: Wanazuoni wakubwa wametoa tamko kuhusu suala hili kwamba ni jambo lililokatazwa, kwa sababu ni mikataba miwili katika mkataba mmoja. Lakini ukodishaji unakamilishwa, kisha mkataba mwingine wa umilikishaji ukafungwa au akaweka dhamana au rehani.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 19/09/2026
https://firqatunnajia.com/ukodishaji-unaoishia-kwa-umilikishaji/