Swali: Msikiti unapobomolewa bado kunabaki ujira wa aliyejitolea kuujenga mara ya kwanza au unaenda (ujira wake)?
Jibu: Kwa kiasi ambacho ´amali yake itakuwa imebaki. Ikiwa kumebaki ´amali yoyote katika msikiti huo, atapata ujira wake kwa kiasi cha hiyo ´amali. Ama ikiwa ´amali yake imeenda na hapakubaki kitu, ´amali yake itakuwa imekwisha na ana yale aliyotanguliza Alhamdulillaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13694
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Msikiti unapobomolewa bado kunabaki ujira wa aliyejitolea kuujenga mara ya kwanza au unaenda (ujira wake)?
Jibu: Kwa kiasi ambacho ´amali yake itakuwa imebaki. Ikiwa kumebaki ´amali yoyote katika msikiti huo, atapata ujira wake kwa kiasi cha hiyo ´amali. Ama ikiwa ´amali yake imeenda na hapakubaki kitu, ´amali yake itakuwa imekwisha na ana yale aliyotanguliza Alhamdulillaah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13694
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/ujira-unabaki-kwa-aliyejenga-msikiti-unapobomolewa/