Swali: Kaka yangu ameoa na ana watoto wane. Haswali. Je, una maneno mazuri au nasaha ya kumpa?
Jibu: Haswali? Haswali na mkusanyiko? Ikiwa haswali na mkusanyiko ameacha jambo la wajibu na ni dhambi. Ni lazima kwake kutubu kwa Allaah. Swalah yake ni sahihi. Hata hivyo Hadiyth inasema swalah kwa mkusanyiko ni bora mara ishirini na saba kuliko kuswali peke yake.
Ama ikiwa haswali kabisa, Uislamu sio dini yake. Ni kafiri. Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia mpaka wakati wake ukatoka ni kafiri. Ni juu yake kutubu kwa Allaah na kuhifadhi swalah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
- Imechapishwa: 09/04/2015
Swali: Kaka yangu ameoa na ana watoto wane. Haswali. Je, una maneno mazuri au nasaha ya kumpa?
Jibu: Haswali? Haswali na mkusanyiko? Ikiwa haswali na mkusanyiko ameacha jambo la wajibu na ni dhambi. Ni lazima kwake kutubu kwa Allaah. Swalah yake ni sahihi. Hata hivyo Hadiyth inasema swalah kwa mkusanyiko ni bora mara ishirini na saba kuliko kuswali peke yake.
Ama ikiwa haswali kabisa, Uislamu sio dini yake. Ni kafiri. Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia mpaka wakati wake ukatoka ni kafiri. Ni juu yake kutubu kwa Allaah na kuhifadhi swalah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
Imechapishwa: 09/04/2015
https://firqatunnajia.com/uislamu-sio-dini-yake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)