Swali: Ni vitabu vipi vilivyochapishwa vinavyosherehesha “´Umdat-ul-Fiqh” ambavyo unampendekezea mwanafunzi?
Jibu: Sherehe yake iliotangulia na ya kale ni “al-´Uddah fiy Sharh-il-´Umdah”. Hii ndio sherehe yake ya zamani. Mwandishi wacho ni katika wanafunzi wa Ibn Qudaamah. Ndio sherehe iliotangulia na ilioingia kwa ndani zaidi. Kipindi cha mwisho kimeshereheshwa na watu misikitini, lakini sijui sherehe zao, sijazisoma. Lakini hata hivyo sio kama sherehe za zamani. Ni jambo lisilokuwa na shaka ya kwamba sherehe za zamani ni aminifu na thabiti zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)