Swali: Inajuzu kwa mwanamke kujipodoa wakati wa kutaka kuchumbiwa?
Jibu: Ni udanganyifu. Haijuzu kwake kufanya hivo. Aidha wasipange kwa ajili ya kwenda kumuona. Kwa sababu atajipodoa na kujionyesha kwa muonekano usiokuwa wa kihakika. Bora ni yeye kumwendea kwa kumshtukizia na kumtazama kwa kujificha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
- Imechapishwa: 13/08/2017
Swali: Inajuzu kwa mwanamke kujipodoa wakati wa kutaka kuchumbiwa?
Jibu: Ni udanganyifu. Haijuzu kwake kufanya hivo. Aidha wasipange kwa ajili ya kwenda kumuona. Kwa sababu atajipodoa na kujionyesha kwa muonekano usiokuwa wa kihakika. Bora ni yeye kumwendea kwa kumshtukizia na kumtazama kwa kujificha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
Imechapishwa: 13/08/2017
https://firqatunnajia.com/udanganyifu-wa-mwanamke-anayejipodoa/