Ubora wa kunywa kwa mafundo matatu

Swali: Kunywa kwa mafundo matatu ni jambo linahusu maji peke yake?

Jibu: Ndio bora.

Swali: Haikupokelewa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikunywa maziwa kwa fundo moja?

Jibu: Linahusu maziwa na maji vyote viwili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23249/هل-الشرب-ثلاثا-خاص-بالماء
  • Imechapishwa: 08/12/2023