Swali: Je, imeshurutisha kubeba silaha ili mtu azingatiwe kuwa ni Khaarijiy? Je, yule ambaye anamtukana mtawala na anawachochea watu dhidi yake anazingatiwa kuwa ni Khaarijiy?

Jibu: Ndio, huyu anaita katika uasi. Upo uasi wa moja kwa moja  kwa njia ya kuchochea watu na kubeba silaha. Huu ni uasi pia. Hii ni njia na lile ndio lengo. Kufanya uasi kwa silaha ndio lengo na huu ni uchochezi na ni njia ya kuliendea lengo hilo.

  • Mhusika: ´Allâmah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbâd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.al-abbaad.com/index.php/lecture/viewdownload/471-12/4137-123-24-01-1436
  • Imechapishwa: 10/10/2020