Swali: Je, imeshurutisha kubeba silaha ili mtu azingatiwe kuwa ni Khaarijiy? Je, yule ambaye anamtukana mtawala na anawachochea watu dhidi yake anazingatiwa kuwa ni Khaarijiy?
Jibu: Ndio, huyu anaita katika uasi. Upo uasi wa moja kwa moja kwa njia ya kuchochea watu na kubeba silaha. Huu ni uasi pia. Hii ni njia na lile ndio lengo. Kufanya uasi kwa silaha ndio lengo na huu ni uchochezi na ni njia ya kuliendea lengo hilo.
- Muhusika: ´Allâmah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbâd
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.al-abbaad.com/index.php/lecture/viewdownload/471-12/4137-123-24-01-1436
- Imechapishwa: 10/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)