Swali: Je, inafaa kwa mtu kufanya Twawaaf na wakati wa swalah umeshafika?
Jibu: Akiwa ana wasaa kama vile mwanamke. Kuhusu mwanaume hapana. Anapaswa kuswali na wengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23741/ما-حكم-الطواف-والصلاة-قاىمة
- Imechapishwa: 25/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket