Swali: Pote la Jaamiyyah ni lipi na ni ipi ´Aqiydah yake?

Jibu: Mimi silijui. Muulize yule aliyekwambia. Ama kuhusu mimi sijui kama kuna kundi linaloitwa Jaamiyyah. Nijualo ni kundi linaloitwa Jahmiyyah. Kuhusu Jaamiyyah silijui. Muulize yeye Jaamiyyah ni lipi na madhehebu yao ni yepi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-01-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2015