Swali: Ni ipi hukumu ya kufunga mwezi wa Sha´baan na mtu afunge mwezi mzima au afunge baadhi ya siku?

Jibu: Ni kama jinsi mlivyosikia katika Khutbah ya kwamba imependekezwa kufunga katika mwezi wa Sha´baan. Lakini mtu asifungi mwezi mzima. Bali afunge nyingi yazo au atakazoweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-01-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2015