Swali: Ni ipi hukumu ya kununua tumbili na kuwawekea katika nyumba ya mapumziko wakati wa kiangazi kwa ajili ya kuwaburudisha watoto?

Jibu: Haijuzu kununua tumbili, paka na mfano wa wanyama kama hao. Ni haramu kuwauza na kuwanunua. Amekataza (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kipato kinachotokamana na paka. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 18/05/2023