Swali: Je, sisi tuko katikati ya zama au tuko katika ya zama za mwisho?
Jibu: Allaah ndiye Anajua zaidi. Allaah ndiye Anajua zaidi. Hili hanalina umuhimu wowote na wewe kujua kuwa tuko katikati ya zama au mwisho wa zama, lililo na umuhimu na wewe ni matendo. Lililo na umuhimu na wewe ni kutenda matendo mema. Hili ndio muhimu kwako na litalokufaa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_fitan%201-10-08-1433.mp3
- Imechapishwa: 21/04/2015
Swali: Je, sisi tuko katikati ya zama au tuko katika ya zama za mwisho?
Jibu: Allaah ndiye Anajua zaidi. Allaah ndiye Anajua zaidi. Hili hanalina umuhimu wowote na wewe kujua kuwa tuko katikati ya zama au mwisho wa zama, lililo na umuhimu na wewe ni matendo. Lililo na umuhimu na wewe ni kutenda matendo mema. Hili ndio muhimu kwako na litalokufaa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_fitan%201-10-08-1433.mp3
Imechapishwa: 21/04/2015
https://firqatunnajia.com/tuko-katika-zama-zipi/