Swali: Baadhi ya vijana wanasema kuwa inajuzu kuuza vitabu vya Ahl-ul-Bid´ah kwa kuwa ndani yake mna kheri na shari…

Jibu: Haijuzu kueneza vitabu vya Ahl-ul-Bid´ah. Bali ni wajibu kuvichana na kuvipigia marufuku kuingia katika miji ya Waislamu ili visije kuwafitinisha watu na vikanunua wajinga na wakafikiria kuwa ni haki. Inatakiwa kuvichukulia hatua na kupigiwa marufuku.

Kwa ajili hiyo ndio maana leo kuna uchungaji wa vitabu na haviruhusiwi isipokuwa vitabu vyenye kuaminika na vyenye kunufaisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_fitan%201-10-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015