Swali: Sisi tuko katika zama za kutokeza kwa al-Mahdiy?
Jibu: Allaah ndiye Anajua zaidi. Lakini hata hivyo aliyoeleza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni lazima yatokeze. Ama kusema kuwa kwa yakini kuwa huu ndio wakati wake, hapana hatufanyi hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_fitan%201-10-08-1433.mp3
- Imechapishwa: 21/04/2015
Swali: Sisi tuko katika zama za kutokeza kwa al-Mahdiy?
Jibu: Allaah ndiye Anajua zaidi. Lakini hata hivyo aliyoeleza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni lazima yatokeze. Ama kusema kuwa kwa yakini kuwa huu ndio wakati wake, hapana hatufanyi hivo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_fitan%201-10-08-1433.mp3
Imechapishwa: 21/04/2015
https://firqatunnajia.com/huu-ni-wakati-wa-kutokeza-kwa-al-mahdiy/