Swali: Nina rafiki ambaye anasema kuwa nyimbo na muziki ni mambo ya Ijtihaad baina ya wanachuoni na kwamba ndani yake kuna tofauti yenye nguvu. Je, ni sahihi?

Jibu: Masuala ya tofauti hayatakasi jambo la haramu. Tunatakiwa kutazama dalili. Yule aliye na dalili ndiye afuatwe. Usisemi kuwa ni mambo yenye tofauti na kwamba yanafaa. Masuala ya tofauti hayakutakasii wewe kufanya jambo la haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (92) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D8%A6%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-29-07-1439%D9%87%D9%80%200010.mp3
  • Imechapishwa: 22/07/2018