Ni wenye kufuata mrengo wa Mu´tazilah katika mlango huu

Swali: Ni upi mtazamo wa Khawaarij inapokuja katika majina na sifa za Allaah?

Jibu: Mara nyingi ni kwamba Khawaarij wanafuata mrengo wa Mu´tazilah katika mlango huu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 22/07/2018