Swali: Je, anapata thawabu anayesoma Qur-aan lakini hafahamu maana yake?
Jibu: Anapata thawabu za kisomo chake cha Qur-aan na kujifunza Qur-aan. Akitaka kujua maana yake basi asome vitabu vya tafsiri ya Qur-aan. Ni vyepesi na vipo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 14/04/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)