Swali: Kufanya Tayammum kwa udongo ni sahihi mtu akaswali swalah za faradhi nyingi kama jinsi anavyotawadha kwa maji au afanye Tayammum kwa kila swalah?
Jibu: Allaah Ameweka Tayammum nafasi ya wudhuu´. Yale anayojuzu kufanya mwenye kutawadha vilevile inajuzu kuyafanya ambaye amefanya Tayammum. Kumethibiti Hadiyth dhaifu ya kwamba mtu haruhusiwi kuswali kwa Tayammum isipokuwa swalah moja. Lakini hata hivyo Hadiyth hii ni dhaifu. Inajuzu kwake kuswali kwa Tayammum swalah nyingi.
- Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3721
- Imechapishwa: 03/05/2015
Swali: Kufanya Tayammum kwa udongo ni sahihi mtu akaswali swalah za faradhi nyingi kama jinsi anavyotawadha kwa maji au afanye Tayammum kwa kila swalah?
Jibu: Allaah Ameweka Tayammum nafasi ya wudhuu´. Yale anayojuzu kufanya mwenye kutawadha vilevile inajuzu kuyafanya ambaye amefanya Tayammum. Kumethibiti Hadiyth dhaifu ya kwamba mtu haruhusiwi kuswali kwa Tayammum isipokuwa swalah moja. Lakini hata hivyo Hadiyth hii ni dhaifu. Inajuzu kwake kuswali kwa Tayammum swalah nyingi.
Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3721
Imechapishwa: 03/05/2015
https://firqatunnajia.com/tayammum-inachukua-nafasi-ya-maji-kwa-kila-ibaadah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)