Tawbah ya ambaye amepotosha watu wengi

Swali 674: Vipi kuhusu mtu ambaye kwa sababu yake wamepotea viumbe wengi kisha baadaye akatubia?

Jibu: Allaah humkubalia tawbah yake, kutokana na kuenea. Viongozi wa Quraysh walipotea kwa sababu yao viumbe wengi. Lakini walipotubia Allaah akawakubalia tawbah yao. Allaah ndiye Mwenye kuamua nini cha kuwafanya wapotevu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
  • Imechapishwa: 27/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´