Amekosa du´aa hii baada ya kukosa swalah

Swali 671: Je, mtu ambaye kwa mfano amekosa swalah aseme:

اللهم أجرني في مصيبتي

”Ee Allaah! Nilipe ujira kwa msiba wangu.”?

Jibu: Ndio. Allaah humlipa kwa kusimama imara na kuhifadhi swalah. Aayah ni yenye kuenea. Vivyo hivyo Hadiyth.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 242
  • Imechapishwa: 27/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´