Swali: Kuna mtu ameandika talaka na hakuitamka. Je, inapita?
Jibu: Hili lipelekwe kwa Qaadhiy. Maswali kama haya yanapelekwe kwa Qaadhiy.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 02/06/2023