Jifunze elimu kwa wanazuoni, hapo utajua

Swali: Unatunasihi nini hii leo ambapo mapote, makundi, kuwatia watu ndani ya Bid´ah na kuwatia watu ndani ya ukafiri, sambamba na hilo kila mmoja anadai kuwa yuko katika haki?

Jibu: Tafuta elimu. Jifunzeni elimu sahihi kutoka kwa wanazuoni, na mtajua ni vipi mtatangamana na mambo haya. Hakuna kinachookoa kutokana na haya isipokuwa tu elimu ya Shari´ah, elimu ambayo ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 02/06/2023