Swali: Mwanaume akimtaliki mke wake na akamrejea kabla ya eda yake kwisha. Je, talaka hii inahesabiwa?

Jibu: Ndio, inahesabiwa. Akimtaliki mara tatu, anatengana naye kabisa [na hawezi kumrejea tena].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
  • Imechapishwa: 30/12/2016