Swali:  Je, kuwafanyie Takfiyr Jamaa´at-ut-Takfiyr?

Jibu: Hapana. Hatuwafanyii Takfiyr. Hata kama Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Yule mwenye kumwambia ndugu yake kuwa ni kafiri linamrudilia ikiwa si sahihi.”[1]

hatuwafanyii Takfiyr. ´Aliy bin Abiy Twaalib amesema kuhusu Khawaarij:

”Wameikimbia kufuru.”

Hata hivyo tunaonelea kuwa ni watu wa Bid´ah na ni wapotevu zaidi kuliko punda.

[1] al-Bukhaariy (5752) na Muslim (60).

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 184
  • Imechapishwa: 26/08/2020