Swali: Ni lini kujifananisha na makafiri inahesabika ni jambo la kuchukizwa?

Jibu: Imekuja katika Hadiyth:

“Yule mwenye kujifananisha na watu basi yeye katika wao.”

Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:

“Udhahiri ni ukafiri.”

Lakini linalotambulika kwa wanachuoni ni kwamba ni haramu na si jambo la kuchukiza. Hali chache kabisa imechukizwa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191047#191047
  • Imechapishwa: 01/09/2018