Kufuta masikio kwa maji mapya

Swali: Kuna ubaya kuchukua maji mapya wakati wa kufuta masikio?

Jibu: Haya yamesemwa na baadhi y wanachuoni. Bora ni yeye apanguse masikio kwa maji aliyotangulia nayo kufuta kichwa hapo kabla.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191047#191047
  • Imechapishwa: 01/09/2018