Swali: Je, Takbiyr za ´iyd ni lazima?
Jibu: Zinapendeza. Sita katika ile Rak´ah ya mwanzo na tano katika Rak´ah ya pili.
Swali: Zinakuwa saba pamoja na Takbiyrat-ul-Ihraam?
Jibu: Ndio. Takbiyr saba pamoja na Takbiyrat-ul-Ihraam ambayo ni lazima kuileta.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22756/هل-تكبيرات-العيد-واجبة-ام-مستحبة
- Imechapishwa: 18/08/2023