Kuna watu wanaojinasibisha na Salafiyyah ilihali hawashikamani bara bara na misingi yake. Hilo ni kwa sababu ima anataka kueneza madhehebu yake. Yeye anaona kuwa jamii inakubali Salafiyyah au wanachuoni Salafiyyuun wameeneza mfumo wa Salaf na imepata nguvu, sasa na yeye anajiita “Salafiy”, lakini wakati huo huo ukitazama sifa na tabia yake hutopata isipokuwa utaona Hizbiyyah. Hili watu wanatakiwa kulizingatia. Kinachozingatiwa sio kujiita, bali kinachozingatiwa ni uhakika wa mambo.
Upande mwingine kuna ambao wanajinasibisha na Salafiyyah ili wawadanganye wenye kuwasikiliza. Ukiona anatumia neno “Salafiy”, basi kuwa na tahadhari! Mfano wa watu unatakiwa kuwa na tahadhari ni kama wale wanaojiita “as-Salafiyyah al-Jihaadiyyah”, wengine ni wale wenye kujiita “as-Salafiyyah wal-Jihaad”, “as-Salafiyyah al-Kuwayt”, “as-Salafiyyah as-Su´udiyyah”, “as-Salafiyyah al-Ordon”, “as-Salafiyyah al-Miswriyyah”.
Salafiyyah ni moja na haoingezwi juu yake kitu. Ukiona Salafiyyah yenye kuongezwa juu yake vijineno na yenye kujibagua, basi kuwa na tahadhari. Salafiyyah hiyo ina kasoro.
- Mhusika: Shaykh Sulaymaan bin Saliymillaah ar-Ruhayliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mkanda “as-Salafiyyah wa Hayaatah” https://www.youtube.com/watch?v=Jq9DehxRLE8
- Imechapishwa: 16/11/2014
Kuna watu wanaojinasibisha na Salafiyyah ilihali hawashikamani bara bara na misingi yake. Hilo ni kwa sababu ima anataka kueneza madhehebu yake. Yeye anaona kuwa jamii inakubali Salafiyyah au wanachuoni Salafiyyuun wameeneza mfumo wa Salaf na imepata nguvu, sasa na yeye anajiita “Salafiy”, lakini wakati huo huo ukitazama sifa na tabia yake hutopata isipokuwa utaona Hizbiyyah. Hili watu wanatakiwa kulizingatia. Kinachozingatiwa sio kujiita, bali kinachozingatiwa ni uhakika wa mambo.
Upande mwingine kuna ambao wanajinasibisha na Salafiyyah ili wawadanganye wenye kuwasikiliza. Ukiona anatumia neno “Salafiy”, basi kuwa na tahadhari! Mfano wa watu unatakiwa kuwa na tahadhari ni kama wale wanaojiita “as-Salafiyyah al-Jihaadiyyah”, wengine ni wale wenye kujiita “as-Salafiyyah wal-Jihaad”, “as-Salafiyyah al-Kuwayt”, “as-Salafiyyah as-Su´udiyyah”, “as-Salafiyyah al-Ordon”, “as-Salafiyyah al-Miswriyyah”.
Salafiyyah ni moja na haoingezwi juu yake kitu. Ukiona Salafiyyah yenye kuongezwa juu yake vijineno na yenye kujibagua, basi kuwa na tahadhari. Salafiyyah hiyo ina kasoro.
Mhusika: Shaykh Sulaymaan bin Saliymillaah ar-Ruhayliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mkanda “as-Salafiyyah wa Hayaatah” https://www.youtube.com/watch?v=Jq9DehxRLE8
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/tahadhari-na-salafiyyah-za-sampuli-hii/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)