Swali: Swawm ya siku ya ´Arafah ni kafara kwa madhambi makubwa?
Jibu: Hapana. Ni kafara ya madhambi madogo. Ama madhambi makubwa hayakafiriwi isipokuwa kwa Tawbah:
|
إِن تَجْتَنِبُوا كَبَائِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ |
|
“Mkijiepusha namadhambi makubwa mnayokatazwa Tutakufutieni madhambi yenu madogo.” (04:31) |
“Swalah tano, Ijumaa mpaka Ijumaa na Ramadhaan mpaka Ramadhaan, ni kafara ya yaliyomo kati yake mtu akijiepusha na madhambi makubwa.”
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014
Swali: Swawm ya siku ya ´Arafah ni kafara kwa madhambi makubwa?
Jibu: Hapana. Ni kafara ya madhambi madogo. Ama madhambi makubwa hayakafiriwi isipokuwa kwa Tawbah:
إِن تَجْتَنِبُوا كَبَائِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ
“Mkijiepusha namadhambi makubwa mnayokatazwa Tutakufutieni madhambi yenu madogo.” (04:31)
“Swalah tano, Ijumaa mpaka Ijumaa na Ramadhaan mpaka Ramadhaan, ni kafara ya yaliyomo kati yake mtu akijiepusha na madhambi makubwa.”
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
Imechapishwa: 14/11/2014
https://firqatunnajia.com/swawm-ya-arafah-inafuta-madhambi-makubwa/