Swali: Mimi ni mtu ambaye nimerogwa na ninadaiwa siku tisa za Ramadhaan. Nachoka ninapofungwa. Nifanye nini?
Jibu: Chelewesha kulipa mpaka pale Allaah atapokuponya. Kisha baadaye utalipa. Ni mwenye kusamehewa kwa kuchelewesha kwako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 11/04/2023