Swali: Kuna mtu anaswali Rak´ah mbili za Sunnah kabla ya Fajr msikitini. Baada ya hapo anaswali swalah zinazopendeza mpaka kukimiwe swalah. Je, inajuzu?
Jibu: Baada ya kuingia alfajiri hakuna swalah nyingine zaidi ya Rak´ah mbili za Fajr. Asiswali kitu kingine baada yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 11/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket