Swali: Nina watoto wengi. Mmoja wao nimempa ngamia kwa kuwa yeye peke yake ndiye hunichungia ngamia zangu. Je, kitendo changu ni sahihi?
Jibu: Ikiwa unampa kama ujira wa kazi, ni sawa. Ama ikiwa unampa kutokana na mapenzi haijuzu mpaka uwape wote mfano wake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 11/02/2017
Swali: Nina watoto wengi. Mmoja wao nimempa ngamia kwa kuwa yeye peke yake ndiye hunichungia ngamia zangu. Je, kitendo changu ni sahihi?
Jibu: Ikiwa unampa kama ujira wa kazi, ni sawa. Ama ikiwa unampa kutokana na mapenzi haijuzu mpaka uwape wote mfano wake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 11/02/2017
https://firqatunnajia.com/kumpa-ngamia-mtoto/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket