Swali: Imamu akichenguka wudhuu´ lakini akaendelea kuswali. Ni ipi hukumu ya swalah yake na swalah ya wale walio nyuma yake?

Jibu: Swalah yake yeye na ya swalah ya waswaliji inabatilika wakijua kuwa amechengukwa na wudhuu´.  Swalah zao wote zinabatilika. Lakini wasipojua mpaka watapomaliza kuswali, swalah zao ni sahihi na swalah ya imamu yeye ndio inabatilika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 24/10/2018