Swali: Wakati mwingine makaburini kunawekwa jeneza kati ya makaburi kisha wanaliswalia wale ambao hawajaliswalia. Je, kitendo hichi ni sahihi?
Jibu: Ndio. Swalah ya jeneza makaburini ni sawa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya hivo pale aliposwalia kaburi. Pindi alipokuwa hajaliswalia kabla ya kuzikwa akaliswalia. Hili linahusiana tu na swalah ya jeneza. Ama kuhusu swalah nyenginezo haijuzu kuziswali kwenye makaburi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2139
- Imechapishwa: 12/07/2020
Swali: Wakati mwingine makaburini kunawekwa jeneza kati ya makaburi kisha wanaliswalia wale ambao hawajaliswalia. Je, kitendo hichi ni sahihi?
Jibu: Ndio. Swalah ya jeneza makaburini ni sawa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya hivo pale aliposwalia kaburi. Pindi alipokuwa hajaliswalia kabla ya kuzikwa akaliswalia. Hili linahusiana tu na swalah ya jeneza. Ama kuhusu swalah nyenginezo haijuzu kuziswali kwenye makaburi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2139
Imechapishwa: 12/07/2020
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-jeneza-tu-ndio-inajuzu-makaburini/