Swalah ya ghaibu kwa maiti aliyezama baharini

Swali: Kuna mtu amezama baharini na mwili wake haukupatikana. Je, aswaliwe swalah ya ghaibu?

Jibu: Ndio, pale itapothibitishwa kweli kuwa amekufa. Kwa sababu kuna uwezekano akawa amesalimika. Aswaliwe pale itapothibitishwa kama kweli amekufa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-30.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020