Swali: Kuna Swahabah mmoja ambaye amepokea kutoka kwa Ibn ´Abbaas ya kwamba haswali ndani ya kanisa kwa sababu ndani yake kuna picha?

Jibu: Ibn ´Umar ndiye aliyeruhusu hivo kutokana na haja. Hapana vibaya pale ambapo wanajeshi au waislamu wanapohitaji kuswali ndani ya kanisa ima kwa sababu ya mvua, baridi au sababu nyingine. Hapana vibaya wakati wa haja. Vinginevyo wasiyaendee.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24531/حكم-الصلاة-في-الكناىس
  • Imechapishwa: 25/10/2024