Swali: Mke wangu amezaa mtoto na hakutokwa na damu. Je, aswali katika siku hizi au asubiri muda wa nifasi?
Jibu: Hapana. Huyu hana nifasi. Wasiotokwa na damu sio wenye nifasi. Aswali na asiache swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330721.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket