Swalah kwa mwanamke ambaye amezaa na hakutokwa na damu

Swali: Mke wangu amezaa mtoto na hakutokwa na damu. Je, aswali katika siku hizi au asubiri muda wa nifasi?

Jibu: Hapana. Huyu hana nifasi. Wasiotokwa na damu sio wenye nifasi. Aswali na asiache swalah.

Check Also

Mwanamke mwenye nifasi kufunga kabla ya kutimia siku 40

Swali: Ikiwa mwanamke damu yake ya nifasi imekatika kabla ya kutimia siku 40 baada ya …