Suurah “ash-Sharh” – sababu ya kufunguliwa kifua?

Swali: Je, imethibiti kwamba kusoma Suurah “ash-Sharh” ni sababu ya kufunguliwa kifua na kusahilishiwa mambo?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Mimi sijui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020