Suurah al-Mulk ni yenye kuokoa siku ya Qiyaamah

Swali: Kuhifadhi Suurah al-Mulk ni katika sababu za kumuokoa mtu siku ya Qiyaamah?

Jibu: Imetajwa katika Hadiyth, lakini ni sambamba na mtu kujiepusha na maasi. Hiyo ni sababu moja wapo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31224/ما-صحة-ان-سورة-الملك-منجية-يوم-القيامة
  • Imechapishwa: 16/10/2025