Tofauti ya al-Wasiylah na cheo kinachosifiwa

Swali: al-Wasiylah ni cheo chenye kusifiwa?

Jibu: Ni nafasi Peponi.

Swali: Si cheo kinachosifiwa?

Jibu: Hapana, cheo chenye kusifika ni uombezi siku ya Qiyaamah. Uombezi juu ya watu waliosimama katika kiwanja siku ya Qiyaamah ndio chenye kinachosifiwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31228/ما-معنى-الوسيلة-والمقام-المحمود
  • Imechapishwa: 16/10/2025