Sunnah ya imamu na kichinjwa chake katika ´Iyd-ul-Adhwhaa

Swali: Miongoni mwa mambo yaliyopendekeza kunaingia kuchinja katika uwanja wa kuswalia ´iyd?

Jibu: Kitendo hichi kimependekeza kwa imamu. Kugeuza uwanja wa kuswalia kuwa ni machinjioni sio katika Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (29)
  • Imechapishwa: 26/07/2020