Swali: Je, ni Sunnah kwa mwanaume kuoga na mkewe?

Jibu: Inafaa, inafaa. Hukumu yake inafaa.

Swali: Kwa hivyo sio Sunnah?

Jibu: Ni jambo linahitaji kuangaliwa vyema. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya kwa namna ya kufahamisha kuwa inafaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24687/حكم-غسل-الرجل-مع-امراته
  • Imechapishwa: 23/11/2024