Swali: Je, inasihi kulisha sukari katika kafara ya kiapo?

Jibu: Allaah anasema:

فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِ مَسَاكِينَ

”Basi kafara yake [ya kiapo] ni kulisha maskini kumi… ” (05:89)

Sukari sio kulisha. Sukari ni nyongeza.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/السكر-ليس-إطعام-لكفارة-يمين
  • Imechapishwa: 17/06/2022