Swali: Kumeenea kutoka kwa baadhi yao kujuzisha maandamano ya amani na mwenye taabiri hiyo anadai kuwa ni njia miongoni mwa njia za kuleta mabadiliko katika wakati wa sasa.

Jibu: Yote haya ni makosa. Maandamano yote ni mabaya na sio ya amani. Maandamano yote ni batili. Maandamano yote ni alama za kipindi cha kikafiri. Maandamano yote yanawatenganisha Ummah. Maandamano yote ni kuvuruga Ummah. Tunachoamini ni kwamba maandamano haya kwa aina zake zote hakuna kheri ndani yake. Mtu anaweza kufikia katika haki yake na katika malengo yake pasi na maandamano haya.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/من-يزعم-أن-المظاهرات-وسيلة-للتغيير
  • Imechapishwa: 17/06/2022