Swali: Tuna msikiti na mazulia yake ni machafu kutokana na harakati ambapo naweka kilemba changu ninaposujudu.
Jibu: Hapana vibaya kuweka kilemba ukasujudu juu yake endapo inakuwia vigumu kusujudu juu ya mazulia kutokana na ukali wa harufu mbaya.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/وضع-العمامة-في-الصلاة-لحاجة
- Imechapishwa: 17/06/2022
Swali: Tuna msikiti na mazulia yake ni machafu kutokana na harakati ambapo naweka kilemba changu ninaposujudu.
Jibu: Hapana vibaya kuweka kilemba ukasujudu juu yake endapo inakuwia vigumu kusujudu juu ya mazulia kutokana na ukali wa harufu mbaya.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/وضع-العمامة-في-الصلاة-لحاجة
Imechapishwa: 17/06/2022
https://firqatunnajia.com/kusujudu-juu-ya-kilemba-au-kofia-kutokana-na-harufu-mbaya-ya-mazulia/