Swali: Je, Sujuud ya ambaye hakusujudia pua ni sahihi?

Jibu: Hapana, mpaka asujudu juu ya pua. Paji la uso na pua ni kiungo kimoja. Ni moja ya vile viungo saba.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23777/هل-سجود-من-لم-يسجد-على-الانف-صحيح
  • Imechapishwa: 26/04/2024