Swali: Sujuud ya kushukuru inajuzu makaburini?
Jibu: Hapana, makaburini sio mahali pa kusujudu, kuomba du´aa na kuswali. Kwa sababu kufanya mambo haya yanapelekea katika shirki. Ikiwa analisujudia kaburi ni shirki kubwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
- Imechapishwa: 09/07/2020
Swali: Sujuud ya kushukuru inajuzu makaburini?
Jibu: Hapana, makaburini sio mahali pa kusujudu, kuomba du´aa na kuswali. Kwa sababu kufanya mambo haya yanapelekea katika shirki. Ikiwa analisujudia kaburi ni shirki kubwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
Imechapishwa: 09/07/2020
https://firqatunnajia.com/sujuud-ush-shukr-makaburini-inafaa/